Thursday 1 August 2013

Utajuaje dame ni mkale in town?

Utajuaje dame ni mkale in town?
1).Most wanapenda kuvaa miniskirt
au trouser pencil mpaka inachora
kila kitu ata na ikus kujichora nayo
2).Most wanapenda kuvaanga
rubber shoes ya black au red.
3).Wanaongea kwa sauti yao yote
wanapoongea kwa simu
4).Wanakaa warembo kwa umbali
lakini ukiwakaribia wabeat xana
... walai
5).Most ni weusi tititi,tochi
inaitajika kumulikwa (but wangu ako Jonjo...Mweupe)

1 comment: